Huduma ya Uinjilisti
Huduma hii hutolewa nyumba kwa nyumba kwa waumini wote na wote wasio waumini
Ni huduma ya kupeleka injili.. neno la bwana kwa wote wa amino
Dayosisi ya Mashariki · Jimbo la Segerea
Kanisa La Mennonite Segerea
Kanisa ni watu. Maeneo ya huduma ni njia za kukua pamoja, kuhudumiana na kuwafikia wengine.
Kushiriki
Ikiwa ungependa kushiriki katika huduma, zungumza na uongozi wa kanisa ili kupata taarifa zilizothibitishwa kuhusu huduma zilizopo.
Endelea